House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA ###150K
-------------
APARTMENT HII YA KIBACHELA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.2 KUTOKA MOROGORO ROAD.
-------
USAFIRI WA BAJAJI, DALADALA UPO KWA NAULI YA TSH 700 ,BODABODA ELFU MOJA UKISHUKA KITUONI UNAINGIA KWENYE NYUMBA.
-----
SIFA ZAKE =
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE
FENI JUU
TAILS
GYPSUM
PUBLIC TOILET YA NJE
UMEME LUKU WAWILI ( KUNA SUBMITER YAKO )
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
REZEV SIMTANK
MADIRISHA ALUMINIUM
NDANI YA FENSI PEVING BLOCK ( NO PARKING CAR )
UKIWA NA PIKIPIKI UNALAZA NDANI YA FENSI SIO GARI
---------
KODI NI LAKI 150,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
------------
NOTE=
KWENYE APARTMENT HIZI KUNA HELA YA TAHAZARI ( CAUTION MONEY ) YA MWEZI MMOJA.