House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


INAFAULISHWA ILIPWE 250,000X5X6👈
APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MUJINI
APARTMENT NZURI MPYA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 250,000 X5X6👈
💥 APARTMENT HII INASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA NA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#MAJI YANATOKA NDANI MASAA 24
#RESERVE TANK KUBWA
#PARKING KUBWA
#PAVING
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2 BAJAJI 1000
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37