House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI KALI YA KISASA INAPANGISHWA
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK 10. KWA MGUU
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA NA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
HAINA FENSI
USALAMA KWA KUTOSHA PAKING IPO
KODI. 200,000/=X6. AU 5
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI. 200,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637