House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA INAFAULISHWA IPO KIMARA KOROGWE
IPO NDANI YA FENSI MAZINGIRA MAZURI PAKING IPO
INA CHUMBA SEBULE CHOO NA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANA FLOW NDANI
INA INTERNET, A/C MASHINE YA KUFULIA, CAMERA,
KODI 350K KWA MWEZI MALIPO MIEZI 4 BAADA YA HAPO ITALIPWA MIEZI 6
ITAKUWA WAZI TAREHE 28 MWEZI HUU WA 12
KUONA NYUMBA 20000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIPENDA NYUMBA MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
KWA MAWASILIANO PIGA 0677370515