House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU MPYA KABISA KWENYE FENSI #BEI 300K
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO ZURI KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM 1.5 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI/DALADALA /500 UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE MLANGO
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUSAHAU PESA YA MPAMBANAJI MWEZI MMOJA
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE
0715949085
0782838336