House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


——
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI BEI NI 400,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#GARDEN
BEI NI 400,000/=X 6
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH ELFU 1 TUU
NYUMBA MPYA KABISA NA KWENYE FENSI MMOJA ZIPO APARTMENT MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI
Kupelekwa kwenye nyumba elfu kumi na Tano dalali mwenzi mmoja
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja