House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGISHA KIMARA MWISHO OVER CHUMBA SEBLEE CHOO NDANI (150,000)KWA MWEZI NDANI YA FENSI
..........
Seblee kubwa
Chumba master Kikubwa
Full tiles
Gypsum board
Dilisha wavu
Luku wawili
Maji Dawasco yapo yanaflow ndani
Metar ya maji MNASHEA wawili
Parking kubwa
Nyumba nzuri ya kisasa
Mazingila safi
..........
Kodi 150.000/ X 3+
Kupelekwa site ni Elfu 15
.........
Ipo umbali wa mbili kilometers to main road usafili ni boda boda 1000
Bajaji 700
...........
ILIPWE 150.000/ KWA DALALI PINDI UNAPOLIPIA HII NYUMBA
ANGALIZO PIGA SIMU ACHANA NA MAMBO YA SMS
#0785889413