House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(300,000X6)KIMARA SUKA DK 6 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT YA KUPANGISHA KIMARA SUKA
(300,000)KWA MWEZI
Chumba Master kikubwa
Seble kubwa Sana
Jiko
Tiles.
Gypsum
Slide window
Maji yana flow ya dawasa
Umeme wako
Ndani ya fence
Parking spece kubwa Sana
Umbali wa Dakika 6 kwamiguu main road
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000 X 6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu ambayo ni laki 300,000
INAFAULISHWA UKILIPIA UNASUBIRIA SIKU MBILI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US: