House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA 350k
IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI KM/ 1.3 KUFIKA
USAFIRI BODA 1000/ MPAKA NYUMBANI AU BAJAJI 1000/ UKISHUKA UNATEMBEA DK NNE
SIFA ZAKE
#########
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTAR INA SEBULE NA DINING INAJIKO NA PUBLIC TOILET
ZIPO NYUMBA MBILI NDANI YA FENSI KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDAN
KODI 350,009 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
KUIONA NYUMBA ELFU 15000
BILA KUSAAU MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT
0742260844
0657384670