House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA KALI SANA ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE
KM1. 5 KUTOKA LAMI INAKUWA WAZI TAR 30.4.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
--------
Chumba master
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Full air condition
Free WiFi
Heater ya maji moto maji baridi
Cctv camera
Maji yana flow
Luku yako
Electronic fence
Full security masaa 24
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=×3
----------
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏