House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HAPA KUNA APARTMENT IPO WAZI NI YA FLOW YA KWANZA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA
#LOCATION KIMARA SUKA DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#
#0764575774