House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
💥Nyumba Nzuri Inapangishwa, KIMARA TEMBONI
📍400,000/= *6
______
__
• Vyumba 2 vya kulala (Kimojawapo ni Master)
• Sebule Kubwa
• Jiko Zuri
• Choo Cha Public
* UMEME na MAJI inajitegemea
* Maji Yanatoka ndani
#ipo Umbali wa dakika 6 tu kwa miguu
_____
#Malipo ya dalali Nasoni ni 400,000/=
#Service Charge 15,000/=
№: 0753-172-516