House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT FOR RENT ###150K
-----------------------------------
NYUMBA MPYA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE UMBALI WA DK  10 MWENDO WA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD KOROGWE MWENDOKAS TERMINAL. 
------
SIFA ZA NYUMBA =
CHUMBA KIMOJA MASTER 
TAILS 
GYPSUM 
SLIDE WINDOW 
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI 
UMEME LUKU ( SUBMITER YAKO YA KISASA )
 MAZINGIRA MAZURI SANA USALAMA UPO GARI INAFIKA MPAKA HAPO HAINA PARKING ILA KWA MTEJA MWENYE GARI PARKING IPO KWA MWENYE NYUMBA. 
--------
KODI NI LAKI  150,000 /=
KWA MWEZI 
KUONA ELF 15
UKILIPIA MWZ 1DALALI
0688653940
0710614924



















