House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI NYUMBA YA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA aina jiko NA PUBLIC TOILET NZURI ZA NJE
===================
KODI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5, 6
==================
LOCATION: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
==================
UMBALI KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
====================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
==================
CONTACT
0742260844
0657384670
.