House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


# APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA SUKA UMBALI DK 15 KWA MGUU
PIKIPIKI 1000 MPK GETINI
------
Sebule
Chumba
Public toilet Ndani
Jiko Kubwa La Makabati
Slide window
Maji yana flow
Luku Yake
Fensi kubwa na Peving Block
Parking space kubwa sana
-------
Service charge 15,000/= Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
*Kodi 250,000/=×6
# Simu 0757 404087