House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(170,000 × 6) KIMARA TEMBONI
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA
#SEBULE
#JIKO ZURI OPEN KITCHEN
#CHOO CHA NDANI KIZURI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
BEI NI 170,000 × 6 ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 NA KUENDELEA
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Contact:
0654101710
0787205300
#ANGALIZO; DM & WhatsApp nachelewa kuona text, nicheki Kwa simu kawaida kwa huduma ya haraka zaidi