House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam






๐ KIWANJA CHA KUUZWA KIMARA BARUTI โ FURSA ADIMU! ๐
Kiwanja kizuri kinauzwa Kimara Baruti, umbali wa dakika 7โ8 kutembea kutoka Stendi ya Mwendo Kasi.
Ukifika kwa bodaboda, ni Tsh 1,000 tu kufika kiwanjani.
๐ Ukubwa wa Kiwanja:
26 m ร 16 m = 416 sqm
Marefu 26, mapana 16
๐ Mahali: Kimara Baruti โ eneo tulivu, salama, na linalokua kwa kasi.
๐ง Huduma za Maji: Zipo karibu sana
โก Umeme: Upo jirani
๐ Huduma za jamii: Maduka, shule, usafiri, na vituo muhimu viko karibu
๐ Matumizi Yanayofaa:
โ Makazi ya familia
โ Nyumba za kupangisha
โ Ujenzi wa nyumba ya kisasa yenye nafasi
๐ฐ Bei ya Kiwanja:
Tsh 38,000,000 tu
(Maongezi madogo yapo kwa mteja makini)
Service charge 40,000/=
Kiwanja kipo katika sehemu safi na yenye maendeleo โ uwekezaji salama, wenye faida, na usiopaswa kuachwa!
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.



















