House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAA MPYAA KABISA HIZI
LOCATION: KIMARA TEMBONI
VYUMBA VIWILLI VYA KULALA
KIMOJA MASTER KITAKUWA NA HITA
SEBULE KUBWA ITAWEKWA AC
PUBLIC TOILET
JIKO KUBWA LINA FUNGWA MAKABATI
KODI 300,000X6
KILA MTU ANA LUKU YAKE
MAJI YAKE YANA FLOW NDANI
ZIPO MBILI NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA PEVING
NDUGU MTEJA NYUMBA HIZI ZITAKUWA TIYALI MUDA WOWOTE UKILIPIA
ILA KUONA NA KULIPIA LUKSA
WEKA BOOKING MAPEMA NYUMBA KALI SANA
UMBALI NI KM 1,5
USAFIRI BAJAJI 1000 BODA 1000 HADI NYUMBANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NAUKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
NOTE: NYUMBA HII KUAHAMIA TAREHE 1.4.2025 KUONA NA KULIPA RUKSA
###0655256419