House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(200,000X4)KIMARA TEMBONI 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 7000
➖➖➖➖➖
SIFA ZAKE NI:_
⚡MASTER BEDROOM
⚡ SEBULE KUBWA SAFI
⚡ JIKO SAFI
⚡ TILES
⚡ GIPSAM
⚡ ALMINIUM
⚡ MAJI DAWASA METER YAKE
⚡ MAJI YANAFLOW NDANI
⚡ UMEME SHARE W2.
🏡 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH700/=
BODA TSH1000/=
+----
🇹🇿🏡 KARIBUNI SANA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343