House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(100,000 × 6) KIMARA MWISHO
UMBALI NI km 2.5
USAFIRI UPO MWINGI
BAJAJI 1000
BODA 1000
DALADALA 700
HAPA KUNA CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LAKE
KODI 100,000 × 6
UMEME WAKO MAJI YANAFLOW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300