House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER NA JIKO  KODI 150,000X6 
MPYAA KABISA KIMARA SUKA
UMBALI KM 1.2 
BODA 1000
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA TILILIKA NDANI 
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PEVING BROCK ZIMEWEKWA TIYALI 
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT



















