House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


WAHI MAPEMA HII SI YA KUKOSA KODI 130,000 × 6
IPO KIMARA SUKA km 2.5 KUTOKA KITUONI
USAFIRI BAJAJI NA BODABODA
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA BARAZA KUBWA LIMEZIBWA KOTE YAANI JIKO
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA TANK LAKE JUU
IPO NDANI YA FENSI FULL PAVING BLOCKS
MAZINGIRA MAZURI SANA
KODI 130,000 × 6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300