House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 10
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
>>>>>>>>>>>>>>>
hii nyumba NI chumba sebule master bedroom na jiko zuri
Jiko ripo pempeni sio ndani
Mazingira mazuri sana
Nyumba hii ipo ndani ya fensi
Inajitegemea umeme NA maji
KODI YA PANGO
>>>>>>>>>>>>>>
kodi kwa mwezi ni laki mbili nanusu tuu/=
(250,000)
X 6
Jamani mwenye nyumba anasema miezi sita 6
Sio chini ya sita
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
###0655256419