House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI 150,000X4.  0759151524
LOCATION:KIMARA TEMBONI  AUUNAWEZA UKAPITIA 
KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI 
NI CHUMBA MASTER  SEBULE KUBWA SANA NOJIKO 
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO WAWILI TUU
YANAFLOW NDANI 
NA KILA CHUMBA KINA FENI SAFI
 KUHUSUFENS  WATAJENGA ILAUSALAMA UHAKIKA
UMBALI NI KM 2.5 
BAJAJI 1000
TAKSI 700
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO
0679 956 863 
0759151524
0781 418 437




















