House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO #300k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa jiko na public toilet ndani
Bei:300,000 Kwa mwezi × 6Malipo miezi x6
Umbali km 1,5 Bajaji zipo 1000 BODABODA/1000
Apartments zipo 3 kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Ndani ya fence parking nikubwa
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena NDUGU MTEJA NYUMBA UKILIPIA INAPGWA RANGI UPYA SAFI KABSA...
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37