House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA ZIPO 2 TU KWENYE FENSI
NA MOJA IPO WAZI, 400,000/=× 6
------------------------------
📌Mahali #KIMARA TEMBONI (Dsm) 🇹🇿
UMBALI. DAKIKA 10 KUTEMBEA
Sehemu nzuri sana
_______________________________________
MUUNDO
✔️Vyumba 03_ Master 01
✔️Sebule Nzuri Kubwa
✔️Jiko ndani
✔️Dinning
✔️ Public toilet safi ndani
✔️ Parking Nzuri
✔️Nyumba nzuri kuubwa
✔️Maji ndani
✔️ Reserve Tank
_______________________________________
HUDUMA (UNAJITEGEMEA)
✔️Maji Mita Yako
✔️Umeme #LUKU YAKO
📌Ndani ya FENCE & Parking Ipo KUBWA
INAFANYIWA MAREKEBISHO MADOGO MADOGO YOTE KAMA RANGI INARUDIWA NYUMBA YOTEE NDANI NA NJEE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI;
400,000\/= TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 6 + mwezi mmoja wa dalali
_________________________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 20,000
______________________
#0710614924
#0688653940