House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA
.
.
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE
.
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
SIFA ZAKE
########
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO
LUKU YAKE
MAJI MITA YAKE
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
MAZINGIRA MAZURI
.
.
UMBALI KM 1,7 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE
.
.
USAFIRI UPO BAJAJI 500 TU
.
.
SERVICHAJ ELFU 15
.
.
CONTACT #0714335450