House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
๐๏ธAPARTMENT YA KUPANGA KIMARA MWISHO (DSM)
=============
CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET, MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
โผ๏ธANGALIZO :HII NYUMBA NINA HIFAULISHA MTEJA WANGU AME AMISHWA KIKAZI DODOMA KWA SASA
KODI 180,000X6 INAITAJIKA
ZIKO 3 KATIKA COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA ,FULL PEVING BLOCKS
NYUMBA IKO UMBALI WA KM.1
BAJAJI TSH 700/= BODA BODA TSZ 1000/=
___________
KODI 180,000/= KWA MWEZI
___________
SERVICE CHARGE YA KUONA
NYUMBA15,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258