House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA #250,000
----------------------------
APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE KWA DARWESH UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
----------------------
APARTMENT HII IPO WAZI KUONA NA KULIPIA RUKSA
NI UPANDE WA KUSHOTO UKIWA UNATOKEA MJINI KWENDA MBEZI MWISHO
๐๏ธ๐บBODABODA NI ELFU MOJA MPAKA KWENYE NYUMBA ##USAFIRI BAJAJI, DALADALA UPO NAULI TSH 5OO UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 8.
--------------
SIFA ZAKE =
CHUMBA MASTER KIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
TAILS
GYPSUM
REZEV SIMTANK
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
CAR PARKING
FULL PAVING BLOCK
NDANI YA FENSI FULL ELECTRIC SECURITY.
-------------
KODI NI LAKI 250,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
----------
NOTEโผ๏ธ=
NYUMBA ILIYOKO WAZI NA INAYOPANGISHWA NI YA CHINI NA MPANGAJI ANAYETAKIWA HAPA NI MKRISTO TU.
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258