House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA WAHI MTEJA MAFUNDI WAPO KWENYE SPEED 🚄 5G+ ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 20/03/2024
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#CHOO CHA NDANI
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK
#BEI NI 280,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 MAONGEZI KIDOGO YAPO SIO SANA KUHUSU BEI
#LOCATION KIMARA SUKA DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD BODA BUKU MPAKA GETINI
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0742260844
0657384670