House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM KUBWA SANA YA KIBABE INAPANGISHWA KIMARA MWISHO #120k
===
Chumba cha kulala kikubwa Sana na Choo ndani ( MASTER BEDROOM)
===
Kodi 120,000 Kwa mwezi ร 6
===
Umeme wawili kuna submeter,maji yanaflow chooni bill, Fence na parking ya kuaminika
===
Umbali KM 1.4 kutoka kimara mwisho bodaboda 1000 Bajaji 700 daladala 500
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0679447338
0753454167