House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#CHOO CHA NDANI
#KIBALAZA CHA KUPIKIA
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.