House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 25/11/2025
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER KUBWA
#SEHEMU YA JIKO YENYE SINK
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO KWENYE FENSI PARKING HAKUNA
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 230,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347