House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
(150,000X6)KIMARA MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA NA IPO NDANI YA FENSI
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#PUBLIC TOILET
‼️ HAKUNA JIKO
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#GARDEN
#PAVING
#FENSI
BEI NI 150,000/=X 6
ILIPWE LAKI 1 NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI,, DALADALA AU BODABODA
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT US:-
0716223412
0683597453