House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


#0783794666
HIZI APARTMENT NI ZA KUINGIA TAR 15/03/2024 KUJA KUONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA
๐ฐKODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
PUNGUZO LA BEI LIPO NDG MTEJA WANGU UKIJA KUIONA NA UKAIPENDA
HIZI APARTMENT ZIPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE UWANJANI
UMBALI WA KM 1,3 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 BODA 1000
SIFA ZAKE
#########
NI CHUMBA KIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI
CHOO NDANI PUBLIC
ZIPO APATIMENTI 4 KWENYE COMPAUND MOJA NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI GARDEN NZURI
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA