House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
🔰For Rent at KIMARA KOROGWE
📍 700,000/= × 6
📍 Barabara Ya Zege had kwenye nyumba 😋
__________
___
• Vyumba 3 vya kulala (kimojawapo ni Master Kubwa)
• Sebule Kubwa
• Dinning
• Jiko
• Public toilet
* Inajitegemea UMEME na Maji
* Maji yanatoka ndani
* Parking Kubwa
* ziko 2 tu kwenye Fensi
#Umbali wa dk 15 kwa Miguu, au bajaji 500 na ukishuka Unapiga Teke Mlango
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 700,000/=
#Service Charge 15,000/=
________
0753-172-516