House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(Njoo ukae Barbarani kabisa)
(300,000X6)KIMARA TEMBONI DAKIKA SITA(6) TUU KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
💥 APPOINTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#HAKUNA MASTER
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 300K X 6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0719969102
0714903124