House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(200,000X6) NA (150,000X6) KIMARA KOROGWE KWA MKUWA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
LOCATION KIMARA KOROGWE 👉KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2 BAJAJI SH.500 UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 10 KWA MGUU
APARTMENT ZINAPANGISWA KWENYE COMPAUND ZIPO 3
KUNDI "A"
SIFA ZAKE 👇
✔️CHUMBA MASTER KUBWA
✔️SEBULE KUBWA
✔️HAKUNA JIKO
✔️ KIBARAZA
KODI:(200,000X6)
TYRIES GPYSAMU DILISHA KASHATA WAVU UMEME MITA YAKO MAJI YANAFUNGWA NDANI NYUMBA IKO KWENYE FENCI
KODI 200K MALIPO MIEZI X6
SERVICE CHANGER SH.15000
GROUP (B)
CHUMBA KIKUBWA
SEBULE
CHOO CHA PUBLIC
KODI:(150,000X6)
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝