House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU UKIIKOSA HII JILAUM MWENYEWE
==================
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
======================
#SIFA ZA NYUMBA
=================
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA (OPEN KITCHEN)
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
====================
KODI NI 250,000/= X 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
===================
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
===================
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
====================
๐ฅKUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
=================
CONTACT
0742260844
0657384670
.
KIUMBE REAL ESTATE AGENTS
.
Epuka matapeli fanya kazi na madalali wenye offce na waliosajiliwa