House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APATIMENTI KALI YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA TEMBONI DK 6
KWA MGUU
SIFA ZA NYUMBA
===========
VYUMBA VIWILI SEBULE KUBWA SANA JIKO NA
CHOO CHA PABLIC HAKUNA MASTA
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
NJIA NI MKEKA HADI NYUMBANI
========
KODI 300,000/= X6
DALALI 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA 15000/= Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087