House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM NZURI SANA NA JIKO LAKE OPEN KITCHEN
INAYOJITEGEMEA
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
๐ฅ *KODI YAKE 150K X4//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA ELFU HAMSINI, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA.*
#MASTER BEDROOM KUBWA ''SINGLE''
##JIKO SAFI
#TILES
#GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME WAKE
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
๐๏ธMASTER BEDROOM HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
HII NI STAND ALONE YA KIPEKEE..๐
*SERVICE CHARGE 15K*
*BILA KUSAHAU PESA YA MALIPO YA DALALI NI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA*
CONTACT US:-.
0716223412
0618976024
๐ก๐๏ธ๐น๐ฟKARIBUNI SAANA.