House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(200,000 Γ 6) KIMARA MWISHO iwahi mapema haikai hii
HIZI APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#JIKO ZURI MAKABATI
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU NA MITE YA MAJI VINAJITEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA MWISHO km 1.6 KUTOKA KITUONI
USAFIRI WA KUMWAGA WA KUCHANGIA BAJAJI AU TAX (700) UKISHUKA TU DK 3 UPO GETINI
BODABODA 1000 MPAKA MLANGONI
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300