House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(170,000 × 4,5,6) KIMARA TEMBONI
APARTIMENT MPYAA MPYAA ZINAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
ZIMEBAKI MBILI TU
NI CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA NA BARAZA KUBWA LA KUPUMZIKIA
IPO km 3 KUFIKA KWENYE NYUMBA UNATUMIA BAJAJI
BAJAJI 1000
BODABODA 1500
NA UKISHUKA BAJAJI NYUMBA UNAZIONA DK 4 TU UPO NDANI
MAJI DAWASCO YANAFLOW CHOONI NA JIKONI
ZITAJITEGEMEA UMEME
ZIPO APARTIMENT NNE NDANI YAFENSI MOJA
APARTIMENT HIZI ZITAKUA TAYARI TAR 15 MWEZI HUU
RUKSA KWENDA KUONA NA KUCHAGUA UNAYOITAKA PIA RUKSA KULIPIA
KODI KWA MWEZI 170,000 × 4,5,6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300
Napatikana muda wote karibuni sana wateja