House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HAPA KUNA CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA NA SEBULE YAKE KUBWA YAKUJIACHIA
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA
UMEME SUBMETER PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
KODI NI TZS 170K X6
APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.2
USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK.5
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347