House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 12
KUTOKA STEND STOP OVER KODI 200000X6
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 15,000 kuona nyumba
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba NI chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii haipo kwenye fensi Ila ina Mazingira mazuri sana
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347