House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(230,000X6)KIMARA SUKA DK 5-8 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖
✔️CHUMBA MASTER
✔️SEBULE
✔️JIKO
PIA INA PUBLIC TOILET
KODI LAKI MBILI NA THERASINI (230,000)KWA MWEZI
FULL TILES
GYPSUM BOARD
ALUMINIUM WINDOW
LUKU YAKE YA
MAJI NA UMEME
MAZINGILA MAZURI
IPO KWNY FENSI
GARI MPK HAPO
UMBALI WA KUTEMBEA TU KAMA DAKIKA5- 8 KUTOKA STAND YA MWENDOKASI KIMARA SUKA
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI UNATEMBEA KAMA DAKIKA 7
NB MPANGAJI ANATOA VITU KESHO JIONI ILA KUANGALIA NDANI MPAKA MPANGAJI AHAME ILA KUANGALIA MAZINGIRA NA KUONANA NA MUHUSIKA UNARUHUSIWA
NYUMBA IPO WAZI
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU KWA AGENT
CONTACT US:-
0716223412
0683597453