House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(130,000 × 4,5,6) KIMARA MWISHO
MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*MASTER BEDROOM KUBWA SANA, YAANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW CHOONI
*ZIKO 2 KTK COMPAUND MOJA, LUKU YA KUSHEA WA 2 TU. TENA KWA MDA #HAKUNA PARKING SPACE
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 130,000/= KWA MWEZI
______________________________
NB:HII NYUMBA ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 25/8/2024..KUONA NA KULIPA LUKSA
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300