House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI SANA ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER IMEBAKI MOJA TU DK13 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BARABARA YAKE SAFI YA ZEGE SAFI GARI LOLOTE LINA FIKA VIZURI TU
-------
Chumba master kikubwa
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina wekwa makabati
Public toilet njee
Maji yana flow
Luku yako
Full air condition
Heater ya maji moto maji baridi
Tiles
Gypsum
Electronic fence
Geti lina limoti
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 330,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.3
----------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693__673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach 🇹🇿