House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, KIBALAZA KIKUBWA SANA CHA JIKO, MAJI DAWASA YAPO NJE
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA, LUKU SHARED WA 3
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA 700/=
*KODI 150,000/= KWA MWEZI
______________________________
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347