House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(150,000 × 6) MASTER BEDROOM NA JIKO KIMARA KOROGWE
WAHI HARAKA MTEJA BEBA PESA HAPA KUNA APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPOUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#MASTER KUBWA NA JIKO LAKE NDANI KUNA KABATI KABISA LA NGUO
FULL TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA
LUKU KUNA SUB MITER
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
HEATER YA MAJI MOTO
BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
LOCATION KIMARA KOROGWE
KILUNGURE KLM 1.5 USAFIRI BAJAJI AU TAX DALADALA 500 TU
UKISHUKA UNAPIGA GETI TEKE
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300